Wale Waingereza wa kwanza kuingia Afrika Mashariki wanaitwa “explorers” katika Kiingereza. ![]() Ninavyofahamu mimi ni asili yake ni neno zunguka. Mfano wa pili ni historia ya neno “Wazungu”. Katika hekima ya Abantu hakuna dhana ya kuwatambulisha watu kutokana na rangi ya ngozi yao. Sasa tunaona mfano halisi ya mizizi ya ubaguzi, asili yake na uduni wake. Kwa hivyo ni ufafanuzi wangu kusema neno taifa lilijiwa katika hali ya unafiki likikusudiwa tafsiri katika lugha ya Kiingereza kuthibitisha ukoloni kutokana na majadiliano ya kamati. Tusije kusahau huko Afrika Kusini enzi za Wabeberu ilikuwa marufuku kijinai, kwa mwananchi, mtu mweusi kujiita Mwafrika. Lugha za ukoloni zinatumika kuwajumlisha wawe bidhaa wasio na jinsi au haki kujitambulisha ila kwa jina waliopewa na Wakoloni nalo ni watu weusi. Kwa hivyo serikali zao hazina maana, muundo wa jamii hauna maana, desturi na mila hazina maana. Maoni yangu, jawabu langu la swali langu ni kusema ya kwamba, katika falsafa ya ukoloni na utumwa, wenjeji, wananchi wa Afrika pamoja na Marekani hawana haki ya umiliki wa ardhi. Tafadhali msomaji mpendwa wangu, usikosi kuliweka maanani ya kuwa mhariri wa kamusi zote mbili zilizotajwa juu ni katibu mkuu wa kamati ile iliyotajwa juu, naye ni Frederick Johnson. Katika kamati iliyokuwa na jukumu la kusanifisha Kiswahili hapana Mswahili! Nayo ni wanachama wote wa kamati kuanzia mnamo mwaka 1930 hadi 1938 walikuwa Waingereza. Sasa ninauliza je, kwa nini wataalamu wa lugha viongozi wa Inter-territorial Language (Swahili) Committee (Kamati ya kimaeneo ya lugha ya Kiswahili) Katibu Mkuu alikuwa Frederick Johnson, wangekubaliana na kupata muafaka juu ya tafsiri hiyo ya neno “taifa”isiyo na msingi katika uundaji wa taifa, iwe tafsiri rasmi! Kabla ya kutoa maoni yangu niongeze kauli hiyo na jambo lenye kudhihirisha nia yao. Je, tukitafuta neno “taifa” na tafsiri yake kwa Kiingereza tutasoma “race”? Hapana! Maana hiyo ya ubaguzi haipo! Sasa kile kinachofuatana nacho kinaitwa Standard Swahili-English Dictionary, Oxford University Press, 1939 Mhariri: F. Wako Waafrika ambao ni Watanzania, pamoja na Wazungu, Wahindi, Wachina, mtu anayetoka kila pembe ya dunia anaweza kuomba uraia nchini Tanzania, mbali na rangi ya ngozi yake. ![]() Katika hicho, neno “race” linatafsiriwa kwa Kiswahili kubeba maana ya “taifa”. Ili kujitenga mbali na wazo la kuwa mimi ninatoa maoni yangu yasiyo na msingi katika hekima au falsafa ya Waingereza hebu niwafungulie kamusi ya Standard English-Swahili Dictionary, Oxford University Press 1939 Mhariri: Frederick Johnson. Matumizi yake katika Kireno yalianzia katika uvamizi wa Afrika na matokeo yake: utumwa wa Waafrika. ![]() Asili yake inapatikana katika lugha ya Kireno, “negro”. Ni nia yangu kupinga kwa nguvu zangu zote utu wangu mzima, matumizi ya maneno “watu weusi na watu weupe nikisisitiza mawazo yanayoleta dhana ya matumizi hayo hauna msingi katika lugha yoyote ya Abantu, huenda lugha zinginezo za Kiafrika mbali na za Kibantu dhana hiyo ndiyo ni ya Kiingereza. Ile ya mwisho inafungua mlango wa mizizi ya ubaguzi katika lugha za magharibi jinsi lugha hizo haswa Kiingereza na Kifaransa zinazojaribu kutumia sayansi na historia kutetea, zaidi kuhalalisha nadharia zinazobainisha ukamilifu kwa uduni wa binadamu unaotambulika katika rangi za ngozi. Makala hizo nne za kwanza zinadhihirisha uwezo na wajibu wa Kiswahili kujenga maadili. Rwanda: To what extent did the Hamitic myth prepare the ground for 1994? Ya mwisho inapatikana katika kijarida cha PAMBAZUKA, toleo ya tarehe 18, mwezi wa sita, mwaka huu nayo mwandishi wake ni Hanno Brankamp. Redio zifundishe Kiswahili watangazaji wao na Stephen Maina zote hizo zilichapishwa katika gazeti la MWANANCHI. Nilisukumwa kuandika makala hii baada ya kusoma makala tano: Ya kwanza ilkuwa Kasumba ya lugha za kigeni inavyoathiri maandiko ya Kiswahili na Stephen Maina ya pili Kudumisha Kiswahili ni kudumisha utamaduni wetu na Maggid Mjengwa ya tatu, Fasihi ya Kiswahili ikitumika vyema, kwa wakati, itasaidia kujenga maadili na Gadi Solomon ya tano, T.V. Makala hii ina shabaha kueleza umuhimu wa hekima inayounganisha watu wote nayo asili yake ni lugha za Kibantu mbali na historia ya Kiingereza lugha ambayo hutambulisha watu kwa rangi na kuwatengisha. ![]() Mengi yameandikwa juu ya thamani ya Kiswahili katika mawasiliano yanayotokea Tanzania kwanza halafu Afrika Mashariki.
0 Comments
Leave a Reply. |